Kama utakuwa na tatizo au wasiwasi wowote juu ya mtu au chombo kinachohusiana na muajiriwa au mtu yeyote anayefanya kazi Jane Goodall Institute Tanzania, tafadhali toa taarifa juu ya suala hilo bila kuchelewa kupitia fomu hapo chini au anuani ya barua pepe: whistleblowing@janegoodall.or.tz
Taasisi ya Jane Goodall ina sera imara juu ufichuaji maovu ambapo wafichua maovu wote wanalindwa. Unaweza ukataka kuonesha au kufisha utambulisho wako kwenye taarifa zako. Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usiri wa hali ya juu.
Zingatia kwamba jina na barua pepe ni hiari kama unataka tukupe mrejesho.
Bofya hapa kusoma sera ya kufichua uovu ya Taasisi ya Jane Goodall Tanzania