about

Dunia endelevu na bora zaidi .

Kuanzia na tafiti zake za kimapinduzi juu ya sokwe, Dk Jane Goodall amekua kinara kwa zaidi ya miaka 60. Lakini hawezi kufanya kazi hii peke yake.

Kwenye taasisi ya Jane Goodall Tanzania, tunajenga dunia endelevu na bora zaidi kupitia mpango wa uhifadhi unaozingatia jamii ambao unaunga mkono muingiliano wa wanyama na, watu na mazingira. Tunaendeleza kazi ambayo Dk Jane Goodall aliianzisha Afrika zaidi ya miaka 60 iliyopita. Na tunaleta kazi hiyo nyumbani kwa 49

Ungana nasi. Na ugeuze matumaini kuwa vitendo.

Mtazamo Wetu

Taasisi ya Jane Goodall inakuza uelewa na ulinzi wa nyani wakubwa na makazi yao na inajenga urithi wa Jane Goodall, mwanzilishi wetu, kuhamasisha hatua binafsi za watu wa rika zote ili kusaidia wanyama, watu wengine na ili kulinda dunia tunayoitumia kwa pamoja.

Tunaendeleza maono na kazi ya Dk Jane Goodall ili kuongoza harakati za uhifadhi kwa ajili ya uzuri wa pamoja – uzuri ambao unajenga uhusiano baina yetu, viumbe hai wenzetu, na dunia ya asili tunayoishi. Kwa kufuata mienendo mizuri yenye kupendeza ya mwanzilishi wetu, tunahamasisisha matumaini kupitia vitendo, kutia moyo watu duniani kote ili waungane nasi katika kuilinda sayari ambayo wote tunatokea. Haijalishi tunawarejesha sokwe na makazi yao, kuboresha afya za wamama katika kijiji jirani, au kikundi cha vijana cha Roots & Shoots takribani ndani ya nchi 100, tunatafuta njia za vitendo ili kufanya matokea makubwa yanayodumu kwa muda mrefu kwa ajili ya watru, wanyama, na mazingira.

Matokeo Yetu

statistics

0

Ekari za makazi zinazolindwa

statistics

0

Sokwe wanaoishi katika makazi yanayolindwa na JGI

statistics

0

Jamii zinazopewa msaada duniani kote

statistics

0

Miradi inayoongozwa na vijana kupitia Roots & Shoots ya Jane Goodall:

Hadithi za Mafanikio