Mara baada ya watu kugundua nguvu yao katika kufanya mabadiliko katika maisha ya familia zao, jamii na mazingira, hakuna kurudi nyuma- ni kusonga mbela tu. Taasisi ya Jane Goodall inasaidia mafanikio moja hadi kufikia mengine huku tukiwa tunajenga matokeo tunayoyafanya kwa pamoja: kurejesha makazi muhimu ili kuokoa sokwe wasipotee; kuimarisha afya kwa wanawake na elimu kwa wasichana; kuendeleza njia zinazounga mkono utafutaji katika maisha ya jamii zetu kwa amani na asili; kusaidia vijana wawe kizazi cha habari cha viongozi wa uhifadhi ambao dunia inawahitaji kwa haraka.
0
Ekari za makazi zinazolindwa
0
Sokwe wanaoishi katika makazi yanayolindwa na JGI
0
Jamii zinazopewa msaada duniani kote
0
Miradi inayoongozwa na vijana kupitia Roots & Shoots ya Jane Goodall: