TACARE iliundwa kama mradi wa maajaribio ili kukabiliana na umasikini uliokithiri ndani ya vijiji vinavyozunguka Ziwa Tanganiyika kwa kuwasaidia kuzalisha vyanzo mbadala vya misha endelevu. Kwa mtazamo wa kujitegemea kati ya jamii na mazingira, mradi unalenga kuweka ukomo uharibifu wa maliasili ambao unatishia sokwe kuishi marefu. Hii inafikiwa kwa kulenga masuala ya maendeleo ya kibinadamu ndani ya jamii. Kwa kuridhisa malengo ya msingi kama vile kuishi, wanajamii wanaweza kuzingatia namna ya kufikia vipambele vya juu kama vile ulinzi wa mazigira. Kwa maneno mengine, uboreshaji wa maisha unaweza kuleta utekelezaji wa masuala ya mazingira ndani ya jamii.
TACARE ni mradi ya jumla inayosadia elimu ya ikiwa na matumaini ya kuelimisha jamii umuhimu wa uhifadhi. Muda huo huo TACRE pia inalenga kuiwezehsa wanajamii na ujuzi wa namna na jinsi ya kujihusisha na usimamizi endelevu wa maliasili.
Masharti ya TACARE:
Tagi: Mradi wa 3